Jumatatu, 27 Juni 2016

MAENDELEO NUSU MWAKA 2016


Salaam wana Kwilae.
Ni wakati muafaka kujipima maendeleo yetu, ikiwa ni katikati ya mwaka 2016. Kila mmoja wetu anaweza kupima maendeleo yake binafsi, kisha maendeleo yetu kama kikundi.

Tunahimizwa na viongozi wetu, tuendelee kutoa michango yetu ya kila mwezi, tuwe tunatuma moja kwa moja kwa Mhazini wetu Gyuzi. Tunza risiti ya kielektroniki utakayoipata, ili iwapo kutatokea mkanganyiko wowote, utatumia hiyo kuandikiwa risiti ya kitabu, kwa ajili ya kumbukumbu za muda mrefu.

Karibuni sana. Katibu - Kwilae

"UMOJA NI NGUVU"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni